Kazi iliyobaki ni moja tu! Kilim.... Please come this way ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi iliyobaki ni moja tu! Kilim.... Please come this way !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 13, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Baada ya kua nimemshukuru Mungu kwa kunirejesha kwenya siha njema,
  pili nimshukuru my wife NastyBeibe kwa kunilea na kuniuguza vyema kufikia hivi nilivyo.
  Ndiyo kusema natoa ujumbe rasmi kwako wife kwamba kazi ya kuuguza sasa imekwisha.
  Natoa wito kwako kua kazi iliyobaki sasa mimi nawe ni KILIMO KWANZA tu! na si vinginevyo.
  Wito huu haushii kwetu tu, nautoa pia for other members kila mwenye alie na shamba akomae kwenye kilimo hiki.
  Komaeni salama.
   
 2. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Shem huwa unaongea kimisamiati, umemaanisha kilimo hiki hiki cha kutumia jembe/trekta?
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,322
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  Anamaanisha cha kutumia jembe la lenye mpini mmoja
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh, wengine hatuna hata bustani je hicho kilimo kwanza tutakiendelezaje?
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  mbegu zipo za kutosha?..
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  Nami na kuunga mkono kwenye kampeni hiyo

   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,039
  Likes Received: 23,999
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza? Kilimo cha?

  [​IMG]
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kama wewe Dc una mashamba ma3!
  Unayalimaje?
  Na sijasikia watu wanaotaka kukusaidia kulima khaa! Babu chawi nini !
  C6 ana kashamba kamoja kangama! Bt walume wanakataka hakohako!
  Khaaa!
  Babu kilimo cha mneli kiweke kando! Kwanza.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shem ! Hivi ututangaziavyo kua una kijacho tumboni , bila kilimo kwanza ungekipataje ?
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yap yap!
  Umeichungulia nje ya box !
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kilimo kama kile mnocholima na Mentor !
  Bado tu hujakijua! tu ?
   
 12. W

  Wajad JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Zingatia kupanda kwa nafasi na kupalilia kwa wakati. Aidha jihadhari na wadudu waharibifu.
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Pole kwa kuumwa........hiyo kilimo kwanza siku hizi mvua hazitabiriki bhana
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza muraaa!!
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wewe kalime na Madame !
   
 16. data

  data JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,779
  Likes Received: 6,547
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza Elim kabla.. EL.

  Pamoja twakomaaa...
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona unatoa siri za jeshi????
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Potelea kwa mbali leo nimeamua kujifunga mabomu! Najilipua!
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa kumbe!
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkubwa wewe mbona umepotea kiivo?
  Au siasa sana!
   
Loading...