mphew! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mphew!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Elijah, Sep 13, 2012.

 1. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mzungu alikuja tanzania kusimamia mradi wa kujenga visima vya maji,akiwa na mitambo kibao mipya,aliwakusanya wanakijiji na kuanza kuwapa mipango ya kazi.
  Mzungu:Nimekunya(nimekuja) toka ulaya,nimekunya toka juzi,nimekunya na mitombo (mitambo) mipya,wanaume tutatomba(tutasomba) maji,wanawake watatomba kuni,sote kwa pamoja tutachanganya nyege(zege)
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh teh, mzungu ni noma, mkuu kila nikiitamka hiyo id yako nashituka
   
Loading...