Wamakonde bana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamakonde bana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Elijah, Sep 13, 2012.

 1. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wamakonde wanapenda sana kusafiri wakiwa wanaimba.siku mohja waliomba lifti kwenye lori la mizigo.
  Njiani wakawawanaimba nyimbo mbalimbali huku wakiinjoi safari yao.
  Muda ukaenda sana na safari ikawa yenye kuchosha sana.
  Mmoja wao akachoka sana na akaamua kukaa chini,bahati mbaya msumari ukamchoma kwenye ****.
  Mmakonde,kwa sauti ya maumivu,akatia ,dereva,chimamisha gari mchumari wanchoma,
  wenzake wakidhani ni tune ya wimbo mpya,wakaitikia wote kwa pamoja,wanchomaaa,wanchomaa,
   
 2. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,427
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kila munu avena kwao
   
Loading...