....unoko

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Nashindwa kujua maana halisi ya hili neno. Mtu anakua mzembe (mathalani kazini) anakua punished,
then anamwita alieyempa adhabu 'mnoko'. Hebu niambieni mtu mnoko anakuaje.....
 
..mtoa mada mwenyewe mnoko...shankupe...pakashume kabisa
 
MNOKO...kuna vile vizee utavikuta vinavalia miwani puani...unaingia ofisini kwake,mzee shika moo ana acha kusoma gazeti anakuchungulia akiwa ameinamisha kichwaa chini full mnoko,kuna mateacher wanako usiingizwe ofisini utakomaa atakuibulia mikesi ya kitamboo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom