kwa wale wanachuo tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wale wanachuo tu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Elijah, Sep 13, 2012.

 1. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Jamaa bhana walikuwa wanafanya UE(university exam),msimamizi wa somo alisifika sana kwa unoko na ukuda wake.msimamizi kamaliza kugawa karatasi,akaruhusu wanafunzi waanze kufanya mtihani,mtihani wenyewe mgumu balaa,muda masaa mawili.
  dakika tano kabla ya muda wa mtihani kuisha,msimamizi akawatanganzia,muda bado dakika tano,kwa hiyo kila mtu ahakikishe ameandika namba yake,nikisema time up,hakuna mtu kuendelea,na jamaa alikuwa mnoko mbaya.
  dakika tano baadae,akasema ''Time up'',watu wote wakasimama,kalamu chini,isipokuwa mwanafunzi mmoja tu,akaendelea kuandika bila wasiwasi,jamaa akaanza kukusanya karatsi huku akikata jicho yule denti,wwanafunzi wote wapo kimya,wanakusanya pepa zao wanatoka nnje,jamaa kakusanya kama dakia kumi na tano hivi,akamaliza,dogo nae ndio anamalizia malizia bila hata wasiwasi.
  jamaa kamaliza kukusanya pepa,anatoka sasa nje,dogo akamfuata na pepa zake,uso wa mbuzi halafu anamcheki machoni,msimamizi akasima naye akwa anamcheki dogo.
  mwanafunzi(dogo),(kwa sauti ya kukaza na ukauzu),Do you know me??
  Msimamizi:What??
  Dogo:I am asking you,do you know me?
  Wakati msimamizi bado anashangaashangaa na makaratasi ya mitihani aliyokusanya ,dogo akayavuta yote,akachomeka pepa yake kwenye hayo makaratasi ,akamrudishia,halafu akasepa kwa speed mbaya,ticha akabaki kaduwaa tu!
   
 2. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa vyuo vyetu au? labda 3 idiot
   
 3. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  hiyo ipo applicable tu kwenye movie ya 3 ******. kwenye vyuo vyetu thubutu yako
   
 4. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ninayo video ya hii stori, ila ni ya kizungu
   
Loading...