Kuwa Daktali hospitali ya Mirembe ni wito mara 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa Daktali hospitali ya Mirembe ni wito mara 2

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by aduwilly, Sep 13, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Daktali mmoja Mirembe aliamua kuwapa zoezi wagonjwa wake wa akili (vichaa) ili kupima ukichaa wao, basi akawaambia kuwa atakaeweza kukaa kwa muda wa masaa matatu bila kupiga kelele, kesho yake ataruhusiwa kwenda mjini kuokota makopo. Basi vichaa wote isipokuwa mmoja walishindwa ndani ya muda mfupi tu baada na kuanza kupiga kelele za aina mbalimbali, wengine walilia kama honi za magari, wengine kama vyura, wengine kama simba na nyinginezo.
  Daktali akaamua kumfata yule mmoja (alekuwa kimya muda wote) baada ya masaa matatu na kumuuliza iweje yeye ameweza kutulia muda wote ule bila kupiga kelele, ndipo yule kichaa alipoanza kumcheka na kumwambia "kweli wewe kichaa yani siku zote hizi hujajua tu kuwa mimi ndiyo spika (ya kuongezea ukubwa wa sauti)kwenye hii wodi? Kelele zote ulizokuwa unazisikia kwa sauti kubwa zilitokana na mimi!!!"
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ningekuwa na uwezo, ningependekeza madaktali wanaotibu wagonjwa wa akili wawe wanakwenda peponi moja kwa moja bila ku-face judgement kwani huenda hata dhambi wanazozifanya zinatokana na shuruba wanazopewa na vichaa wao
   
Loading...