Mtoto wa mamndenyi atoa tamko kuhusu taraka ya mama yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa mamndenyi atoa tamko kuhusu taraka ya mama yake

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Sep 11, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habhari yenu bhana,
  Katika siku ambazo ninafuraha toka kuzaliwa kwangu ni leo nilipo pata simu kutoka kwa mama kuwa kapigwa taraka na baba yangu ombaomba Arushaone
  Kwakweli toka mama aolewe na Arushaone imekua haraha,baba gan kafulia muda wote,baba kazi kutumia hela za mama tu,kila nikimpatia hela mama, ka-ding kanakomba zote,mpaka mama alishaanza kufubaa.mbaya zaidi ni pale nilipomletea mama suti,viatu,mkoba na vipodozi nikashanga eti Arushaone kaenda kuviuza!...si hapo tu baba umekua akiniibia boxer zangu,mashart yangu yote kakombe.dah bora ulivyomuacha mama yangu maana hata bajet yangu ya mwez itatulia,baba mpaka nilianza kukukwepa kila tukikutana ni mizinga tu kwa kwenda mbele.kwanza ulikua unambemenda mama yangu,nenda tena nenda,mama apumue lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Toba!...kumbe!... Ruhazwe JR umeamua kuanika mambo ya ndani kabisa.pamoja na tamko lako ukikutana na charminglady mwambie nampenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ruhazwe jr!!! Labda hunijui wewe. Me sijitangazi kama akina nshomile ila kiukweli mm ni mtu na heshima zangu na kauli zako za kipuuzi unazoandika hapa cc ni za kunivunjia heshma na nasema sitazivumilia naripot post yako kwani umevuka mstari.
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  He!,he!.... Arushaone upo serious?...mi sidhani kama Ruhazwe JR yupo serious kama wewe ulivyokuja.labda mimi ndio sifahamu kinachoendelea.Lakini yote tisa ukimuone charminglady mwambie nampenda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  usikasirike sana, mtoto anaeleza tu upande wa pili ambao haukuwa tayari kuuanika.
  Umemwaga ugali ye kamwaga mboga.
  Na kwa jinsi alivyo kuchana sidhani kama utampata mwingine.
  Utajuuta kutoa talaka.
  Lol!
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  My X- Father Arushaone do whatever,....lakini nasema bora ulivyo muacha mama yangu Mamndenyi kwakua kwanza ulikua mzigo kwake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashangaa!huyu ding vip?kamuacha mama tena kwa talaka tatu mpaka mim kanitwanga talaka,then anakuja kuwaka,anawaka nin?
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we mtoto kiboko,inaonekana unamapenzi na mama.lakini vip umemwambia cl kale kaujumbe?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  hahahahahaa we mtoto utakosa radhi ya babaako, si unaona tayari kafyumu? Kamuombe radhi upesi
   
 10. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  aa wap! Simuombi radhi ding wa kambo mimi,mwache akajinyonge alinitesea sana mama
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yani C6 kama kungewezekana kuazimana wazazi ningekuazima Arushaone ungekoma,we baba gani siku ya kula nyama anataka eti apike yeye,alafu wengine mnakula kwa mchuzi tu nyama zote anakula yeye wakati ahemei hata nyanya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ntaifanya kazi hiyo rasm
   
 14. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Hatimaye mtoto aingilia mapenzi ya wazazi hawa ndio wale watoto wenye tabia ya kuchungulia wakubwa.ameamua kuusemea moyo wamama sijui ikitokea wakirudiana itakuaje kwake.angalizo mtalaka hatongozwi
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Is't new Isidingo being lauched today ?
  If not !
  So what ?
  If yes !
  We need contesters (cast) names
   
 16. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mwachie laana amevuka mipaka
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  Ruhazwe love you my son,
  nisamehe nilijua nimepata kumbe nimepatina,
  will never happen again,
  love you more my son, mwaaaaaaaaaa!

   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  Na bado, kwani kuna heshima gani ameivunja hapo,
  umeyavulia nguo na uyaoge babu wewe.

   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  hakuna cha laana wala nini
  baba mwenyewe wa kambo laana wapi na wapi.

   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah! Mama we acha tu!hali uliyokua umefikia ilikua inaniumisha kichwa mpaka nikaanza kufunga na kuomba ili hako kading muachane maana baba si baba tena alikua balaa kama pepo yani,nakumbuka hata lut za saloon zilikata,kazi ya hako kading ni kushinda kwenye sofa na kuangalia tv,huku akisubir mimi nikuletee hela yeye achukue tu.mmmh asante mungu hili pepo mtaka vitu limetutoka
   
Loading...