JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana Chit Chat, Ishu hii ingekukuta wewe ungefanyaje? Iikilize vizuri hii kitu Samahani kwa usumbufu kwa wale ambao hawakuona linki. Nimeirekeisha hii hapa chini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alikuwa ameshikwa na tumbo la kuhara, basi kwa bahati nzuri aliona uchochoro hivyo aliamua kwenda kujistahi, kufika pale akakuta kibao kimeandikwa 'marufuku kukojoa hapa'. Jamaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika Jumapili moja,kuna sharobaro mmoja alienda na demu wake kanisani...ukafika muda wa kutoa sadaka mara yule sharobaro akamzuia demu wake asitoe sadaka huku akimwambia ''don worry baby i will...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Eti umeenda dukani kununua sumu ili ujiue umetoa noti ya elfu 10 kuna haja ya kudai chenji? naombeni majibu pls!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je, unafahamu kuwa 100% ya wanawake wanaofanya matangazo ya luninga wakitangaza pedy, huwa hawajazivaa???
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nenda kwa step kwenye uzi,hali tete huko...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mzee mmoja alikwenda mjini kumtembelea mtoto wake, baada ya kufika jioni kikaandaliwa chakula mzee alikula sana ghafla akasikia mama anamwambia Juma"hebu mletee babu yako tishu"mzee kusikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni jumamoc ck ambayo mama kulwa hataisahau maishan baada ya kumfma mmewe kitandani na dada yake wa damu(wifi yake) wakila MARAHA. . . . Baada ya kuona hvy mama kulwa aliishia kusema. ."Mme...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
mi yanayonifurahisha sana ni: mchaga hazikwi dar dudu washa hutaki unaacha kiboko yenu..............
6 Reactions
140 Replies
10K Views
Bwana Karabi alifunga ndoa na Bi. Kezia , hivi majuzi . Katika hali isiyo ya kawaida wanandoa hao jana wameamua kuachana. Pakalazimika kuitishwa kikao miongoni mwa wanafamilia toka pande zao...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tabia gani hiyo ya kuhonga honga mwanaume asifiwi kwa kuhonga anasifiwa kwa uwajibikaji katika family Asprin Njoo umfunde mwenzio sijamtia machoni toka Idd
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimekumbwa na matatizo mengi ya ujana mpaka nikapata msongo wa mawazo kiasi cha kutaka kuji RIP. Nahitaji mtu wa kuongea naye anitoe katika hali hii, la sivyo mtanipoteza humu JF for good. nyumba...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Nakuwaza sana mlimbwende, hayapatikani majibu Ni kwanini usinipende,sipati sababu kukupenda wewe katu sitakoma,CL unanipagawisha Nimejaribu kukuforget,ndio kwanza nakuwaza Ingawaje kanishauli...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni swali ambalo wengi wetu tumelitumia/tunaendelea kulitumia tunapokuwa tunataka kuanzisha mahusiano. Hebu kwa mtazamo wako na uzoefu wako itolee maelezo hii picha
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jaman natangaza nia kwa mwanadada Snow white, kuthibitisha hilo nataka nimvishe kabisa pete hii...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Je kweli wajua wakti wako haswa wa kulala au wajua wakit wako haswa wa kpanda kitandan. . . . ? Mana kna w2 hsema "mi nalala sa 4" Je kwl huwa kalala ucngz
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Binti: Mama nina mimba... Mama: Shenzi kabisa!, haya imekuwaje na tokea lini? Binti: Bahati mbaya , ni ajali tu mama. Mama: Pumbafu zako,unataka kusema ulikuwa unatembea tu barabarani ndo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unapotaka kutafsiri namba yako ya simu tumia tarakimu nne za mwisho kwani hizi ndizo namba pekee ambazo ni tafauti na za watu wengine katika mtandao mmoja. Jumlisha tarakimu hizo nne hadi ufikie...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Leo nimemtembelea kifungon zubedayo akiwa kifungon angependa kusikia Sauti ya Mahabuba wake na wanachit chat wote, line tajwa hapo juu itakuwa Wazi kuanzia saa Tatu kamili asubuh hii,atapokea simu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu zanguni penye wengi pana mengi, naamini hili ndiyo maana nimekuja kwenu kuomba msaada: Naomba kujua supermarket yeyote kubwa iliyopo hapa Dar es salaam na eneo ambayo hiyo supermarket ipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom