Hizi ni salamu zako shangazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ni salamu zako shangazi!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Sep 13, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Shangazi nimekuja,japo sina nia kukukwaza.
  ahadi yetu umevunja,japo ni kwa mara ya kwanza.
  yangu shida sikuoni ukija,kutatua kile ninacho kiwaza.
  waweza sema chizi kaja,ni love stress kutwa kuwaza.
  shangazi usichelewe kuja,mapenzi yanimaliza.

  ni CL tu shangazi,yeye kagoma kunipenda.
  pengine ukija wewe shangazi,CL atanipenda
  wajua maumivu ya penzi,hasa pale ukipenda usipopenda.
  njoo hima shangazi,Cl aweza nipenda.

  tulikubaliana shangazi,zawadi nikakuhaidi.
  lakini sikuoni shangazi,siamini kama wakaidi.
  usiogope wako kipenzi,kwakua hili halipendi Madame B shangazi,ukifanyikisha nakupa zawadi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah! Shangazi yako Madame B a.k.a X wangu!sasa mbona anakutosa?simuoni akichakalika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Madame B ananisusa eti kisa kwakua ruttashobolwa ni mwanasheria wa CL kaamua kunitosa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ongea naye vizuri yule ni jembe namuaminia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Niahidi kbs,
  Nikimtia Mikononi CL,
  utaniletea kichwa cha Ruhazwe JR kikiwa ndani ya mfuko?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mbona unapenda kunitajataja wakati tushaachana?
  Utanivunjia ndoa yangu mpya bure!!
  Nitue Babu wee!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Unafikiri tutakula wapi papito?
  Na CL ndio mteja wett mkubwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...