mu-hali gani wana CC, wadau hakuna kitu kinachonikera kama upo kwenye public transport halafu mtu anafungulia muziki kwenye kamchina kake muziki wenyewe mbovu. wakati mwingine unakuta watu...
Mapenzi ya siku hizi ni ya kutamaniana,kutumiana,kufilisiana,kukwanguana na kubwagana,na si ya kupendana kwa dhati,si ya kusaidiana na kulipeleka gurudumu hili la maisha mbele.
Kwanini Mambo...
Juliety alikwenda kumwona daktari baada ya kusumbuliwa kiafya. Maongezi yao yakawa hivi:
Juliety: Dr Ninatatizo la kupata mkojo wenye rangi ya njano.
Doctor; kwa wastani huwa...
...anaposema "DAR ES SALAAM FOLENI HAITOKUEPO
TENA..." me napata picha hili ndio "ze mwendo-kasi
slipingi kochi" unaionaje kauli hii ya mheshimiwa?
itatekelezeka au ni siasa?
Wapo wanaoihisi kufua nguo za ndani za mwenzio ni uchafu ama kejeli ama dharau
binafsi akuna raha kama kufua nguo ya mama didy kipindi cha hedhi we eeeeee na saabuni nabadilisha kama alikuwa...
Mwijano alidhamiria kuja mjini Dar ili aungane na wenzake katika biashara yao ya kuuza vyombo vya nyumbani kwa kuvitembeza majumbani kwa mikopo. Baada ya kuuza ndizi na mahindi aliamua kupanda...
Kwa wale wanaotarajia kupata m(wa)toto ungependa aitwaje kama ni mvulana au msichana ,mmoja au mapacha me ngependa mtoto wangu nimuite NDALICHAKO wewe je?
Jamani mwenzenu nahesabu siku tu nivute kajiko kangu ka gas niwe napikia peke yangu'sasa hebu nisaidieni kawifi kenu au kashemeji kenu kavae ipi siku yenyewe kati ya hiyo namba 1 au 2? Na kiwifi...
morning guys,
nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa...
Wanachitchat
Mie ni mgombea wa miss chitchat though ni mrs ErickB52 tayari. Naombeni kura zenu, hakika nawaahidi donge nono, free full Internet, parties kwa sana, bia na nyagi za kufa mtu, nyama...
Vile unavyomwona CHURA je kakaa,
kasimama, kachutama au kalala?
Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa:
"mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...