Mapenzi ya Siku hizi ni Kutamaniana na kufilisiana...

kakamukubwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
203
27
Mapenzi ya siku hizi ni ya kutamaniana,kutumiana,kufilisiana,kukwanguana na kubwagana,na si ya kupendana kwa dhati,si ya kusaidiana na kulipeleka gurudumu hili la maisha mbele.
Kwanini Mambo Yamekuwa hv..
 
Hata nami sijui kwanini!

Na ajabu kila mtu analalamika, it will be interesting to get two couples ambao wote wanachukizwa na trend hiyo tuone kama hawatasalitiana baada ya kutumiana!
 
Ila wakuu niwaambie kitu,
Mapenzi kama mapenzi yana kanuni na taratibu zake.
Iwapo utayachukulia vile unavyotaka wewe basi nayo yatakufuata wewe vilevile.
Na kwa upeo wangu nadhani Mkuu kakamukubwa ameshawahi kuumizwa ktk mahusiano na ndio maana ameona namna mapenzi yalivyo magumu.
Ila Hakuna kitu Kizuri na Kitamu Duniani kama Mapenzi.
Hasa umpate yule anaekujali,kukulinda,kukuheshimu na kukuthamini kwa hali yoyote ile.
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa hekima zako. Nitakuomba uwe kungwi wangu nitakapotafuta jiko.
 
Last edited by a moderator:
Nitajadili hili pale nitakapoelewa mnaposema ya siku hizi mnalinganisha na zama zipi,maana wengine wakati wetu Gonjwa ya zinaa ilikuwa Gono na Kaswende tu,sasa kama mnazungumzia wakati wa Ukimwi inaniwia vigumu kidogo kujadili na wanangu hapa..
 
Asante kwa hekima zako. Nitakuomba uwe kungwi wangu nitakapotafuta jiko.

Usiwe na Shaka Wajad,
mie tena?
Nitakufunulia yote ya Chumbani hadi utoke jasho la Meno.
Utafundika tu.
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na Shaka Wajad,
mie tena?
Nitakufunulia yote ya Chumbani hadi utoke jasho la Meno.
Utafundika tu.

Swadaktaaaa!!! Nayaaminia sana mambo ya kuleee wanakosema kuwa ndio chimbuko la mahaba.
 
Last edited by a moderator:
duuu mapenzi kizungumkuti, wengine wanafurahi wamepata wake wema, tena humu2, mwingine kanenepa kapata mke aliemtaka, tena alienda na wanasheria first dating. hahahha kweli ya walimwengu.......
 
Please ukiona kuna kasoro katika mahusiano hayo si mapenzi bali hata sijui niyaite matamanio ya moyo au purukushani za mapenzi....nijuavyo mimi pendo halitakabali, pendo halijivuni mbali zaidi pendo halisemi uongo.
 
duuu mapenzi kizungumkuti, wengine wanafurahi wamepata wake wema, tena humu2, mwingine kanenepa kapata mke aliemtaka, tena alienda na wanasheria first dating. hahahha kweli ya walimwengu.......

Umeonae eti sijui anizalie mtoto akishakua anikabidh mtoto aende zake nitampa gari.sasa haya mapenzi ya pesa ndio yakujadili?mapenzi walipataga wazazi wetu sio sisi
 
Ila wakuu niwaambie kitu,
Mapenzi kama mapenzi yana kanuni na taratibu zake.
Iwapo utayachukulia vile unavyotaka wewe basi nayo yatakufuata wewe vilevile.
Na kwa upeo wangu nadhani Mkuu kakamukubwa ameshawahi kuumizwa ktk mahusiano na ndio maana ameona namna mapenzi yalivyo magumu.
Ila Hakuna kitu Kizuri na Kitamu Duniani kama Mapenzi.
Hasa umpate yule anaekujali,kukulinda,kukuheshimu na kukuthamini kwa hali yoyote ile.

Toka umezaliwa hujawah badili Mwanaume? Kuwa mkweli.
 
Last edited by a moderator:
Toka umezaliwa hujawah badili Mwanaume? Kuwa mkweli.

Tangu nimeanza kuingia kwenye Sanaa ya Kikubwa mwaka 2010,
Nimewahi kubadilisha wanaume 23 tu!!
Na hii inatokana na Kutokuwa na Pesa.
Nami nahtaji Pesa.
Ila huyu nilienae Nashukuru Anazo anazo.
 
23 namba witiri au tasa...mpaka hapo una mauzoefu na mapini,mipini,fimbo,vifimbo
 
Tangu nimeanza kuingia kwenye Sanaa ya Kikubwa mwaka 2010,
Nimewahi kubadilisha wanaume 23 tu!!
Na hii inatokana na Kutokuwa na Pesa.
Nami nahtaji Pesa.
Ila huyu nilienae Nashukuru Anazo anazo.
madame b yaani 23 halafu mwisho unasema tu, mwenyewe unajiona mtukuufu.umesema wa sasa ana hela umetulia sasa?.
 
Back
Top Bottom