mke kilaza

mke kilaza

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
Mke: Mbona kwa jirani kuna kelele ?
Mume : Kuna birthday
Mke : Ya nani
Mume : Ya Tuyu
Mke : Ati Tuyu? Umejuaje??
Mume : Nimeskia waki-imba Happy Birthday Tuyu!
 
Hapo kilaza ni mume au mke, au mimi ndo kilaza, au wewe mkùu!?
 
Mi kwa kweli hapo wa kiume kachemka
 
Back
Top Bottom