Wana JF nisaidieni hapo!!' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF nisaidieni hapo!!'

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ngongoseke, Sep 18, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani mwenzenu nahesabu siku tu nivute kajiko kangu ka gas niwe napikia peke yangu'sasa hebu nisaidieni kawifi kenu au kashemeji kenu kavae ipi siku yenyewe kati ya hiyo namba 1 au 2? Na kiwifi chenu au kishemeji chenu ni kinamba 1 hivyo hvyo kama huyo na kitall hvyo hvyo'

  Jamani hapa ni chit chat sio kwenye siasa tuelewane kabla'
   

  Attached Files:

 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kapigilie cha kwanza kakîwa church,afu ukumbini kapige cha pili'
   
 3. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Baba V poa mkuu ila mimi niko mrengo wakulia itakuwa ukumbini tu,poa lakini kwa mchango wako ngoja niskilizie wadau wengine
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,114
  Likes Received: 6,595
  Trophy Points: 280
  Nguo hizo mziangaliage vizuri,
  usijekuta kagauni kameshuka na manyo nyo yote yakabaki peupe mbele ya akina mkwe.

   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Avae km huyo pichani tuambie harusi lini na kwenye harusi siyo mavazi tu ungesema na rangi uliyochagu siku hiyo ili tusaidiane na hilo pili kumbuka shughuli watu.
   
 6. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahhaa lakini hujamchagulia avae ipi chagua bwana
   
 7. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yeye anapenda pink colour kati ya hizo yyte atavaa'kadi nitagawa kwa wana jf wote hapa na wataokuwa mitaa ya shy town mungu akipenda watashudia live ndani ya NSSF hall
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,114
  Likes Received: 6,595
  Trophy Points: 280
  namba 1 ila avae na kitop chake.

   
 9. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  pick colour pekee au kuna rangi nyingine jaribu kuangalia na rangi ya mwaka.
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmmhhh? hiyo ya picha kubwa uliitoa wapi?
  Ndio dress ya mchumbake Kambaku wa JF
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ahaa poa mamndenyi ntamshauri tuone atavyong'ara
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,114
  Likes Received: 6,595
  Trophy Points: 280
  kila la kheri mkuu,
  wasalimie akina Masele wote hapo Shy.

   
 13. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa rangi ya mwaka ntapata wapi mkuu?
   
 14. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwali chagua kwanza ya wifi yako namba ganai?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mamdenyi mimi sipo huko ntakuja tu bongo tarehe zikisogea bado nabeba box ughaibuni kwanza
   
 16. salito

  salito JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Me naona namba 2 ipo pouwa..
   
 17. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Salute kwako mkuu,ngoja nione ipi itapata promo sana'pamoja mzee
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  thou siwezi kuview phc but naomba kadi ili nihudhurie. me nipo pande za rock city!
   
 19. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahha charming unapitwa bwana'ok kadi utapata hila shaka mwezi ujao naanza kugawa kadi
   
 20. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Me nimeona n0 2 iko bomba
   
Loading...