tutafika lini huku... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tutafika lini huku...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Sep 20, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ...anaposema "DAR ES SALAAM FOLENI HAITOKUEPO
  TENA..." me napata picha hili ndio "ze mwendo-kasi
  slipingi kochi" unaionaje kauli hii ya mheshimiwa?
  itatekelezeka au ni siasa?

  [​IMG]
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hakuna bus la ghorofa nne, hiyo picha imetengenezwa, mwisho ni ghorofa moja tu!
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kwa barabara zetu hata kama tungepata mabasi ya ghorofa moja tungeyapitisha wapi? Ingekuwa ajali kila wakati.:nono:
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Litapita wapi?? Miti na nguzo za umeme zilizojaa barabarani ingekuwa balaa.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hapo center of gravity sijui utaibalance vipi...!
  Maana likipulizwa na upepo tu lazima lipige nyama chini.....!!!
   
Loading...