Kufua kofuli la mwenzako sio sumu jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Wapo wanaoihisi kufua nguo za ndani za mwenzio ni uchafu ama kejeli ama dharau
binafsi akuna raha kama kufua nguo ya mama didy kipindi cha hedhi we eeeeee na saabuni nabadilisha kama alikuwa anatumia omo natumia dare 4more wewe unafua ya mwenzio raha kupeana sio kulishana kitimoto jamani kila la kheri
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mmmm lazima mshirikiane wakati wa raha na wakati wa karaha pia so good to hear that from you
 
HAHAHAAAAAHAAAAA! Sema wewe muhogo nikisema mie kiazi naambiwa sina mzizi katikati. NANI KANUNA?????? I am BAD NEWS ila wewe ni DISASTER!!!!!!!
 
mie akivua tu, naliloweka kwenye maji kidogo, nakamua natia kwenye glasi, najinywea jyisi yangu tamu.
 
unakuta nguo yenyewe kwanza ni ya mtumba
halafu ndo imevaliwa siku kadhaa lol
 
HAHAHAAAAAHAAAAA! Sema wewe muhogo nikisema mie kiazi naambiwa sina mzizi katikati. NANI KANUNA?????? I am BAD NEWS ila wewe ni DISASTER!!!!!!!
sijakuzidi mpwa nyie silent mna balaaa zaidi
kila la kheri
 
Mkuu bt
bakhresa alianza hivi hivi na vijuice vya ajabua baada ya kuacha kazi ya kupiga rangi leo akiamua kuua watanzania ni sekunde kila chumba wanatumia kinywaji ya brs mafuta ya bkrs so kijana anaweza kutoka na hiyo juice ajitahdi kwenye gradient tu isimletee mazara kama jamaa wa royal oven
loh
raha jipe mwenyewe mkuu ni pm mixt niangalie uzuri wake
 
sasa kama pale mahala tunapanyonya,kupamung'unya.na kupatafuna kabisa vipi kufua kyupi iwe mbaya bana halaaah.
 
dah
kumbe wagonjwa wa hiyo kitu wapo wengi
mi binafsi napenda kufuliwa tena nitakupendaje ukinifulia
ila we kiboko hata za kublid mhhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom