CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,254
- 12,872
mu-hali gani wana CC, wadau hakuna kitu kinachonikera kama upo kwenye public transport halafu mtu anafungulia muziki kwenye kamchina kake muziki wenyewe mbovu. wakati mwingine unakuta watu wamechoka wanawaza vitu vingi kichwani afu mwingine anaweka muziki tena kwa sauti kubwa. . .
inanikera sana!!!!!! hebu tupia kero yako
inanikera sana!!!!!! hebu tupia kero yako