ur proffessional please!

morning guys,
nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa, wanasheria kama rutashobolwa na wenginie. hakimu Judgement ila sina uhakika. haya tajeni proffesional zenu tufahamu. . .

nliambiwa porn-star.!!!
 
Last edited by a moderator:
Kutana na mimi ODM, mi KULI wa kujitegemea. Kama una mzigo usihangaike sana kutafuta mbebaji. Just PM me and I will be there kwa huduma.

alaa kumbe, afu next month natarajia kuhamia mtaa wa saba ntakutafuta. . . hebu nipe quotation kwanza!
 
dah, umejuaje me nina shida nayo sana. make kuna mtu nampenda sana humu, nataka nimwekee. ngoja nikupm fasta. . . .
kwa msisitizo ninaishi kwa bi' manyau tandale kwa ali maua,ukihitaji paka aina yeyote niPM tu,awemweusi,mwenye jicho moja,mwenye mimba,paka zeruzeru,we nipe oda tu.
 
Mie ni tapeli wa kisasa. Nina kampuni inaitwa 'tunatapeli.com'
Leta mchongo wowote, $,€,£, au ¥ feki. Maji ya viroba, konyagi mwitu, saa na tv feki kila kitu kinauzika. Im a jackal of all trades
 
kwa msisitizo ninaishi kwa bi' manyau tandale kwa ali maua,ukihitaji paka aina yeyote niPM tu,awemweusi,mwenye jicho moja,mwenye mimba,paka zeruzeru,we nipe oda tu.

me nataka hayo maji tu ili nimpagawishe mtu humu, yule mganga wangu wa mwanzo si unajua alifia kwenye mv skagit kule znz ndie alienipaga ile dawa nkampagawìsha wns. afu alinipa kidogo nijaribu weee wns si akachanganyikiwa. basi majaribio yalivotik kwenda kufata nyngne ndo nikakutana na hiyo taarifa
 
Mie ni tapeli wa kisasa. Nina kampuni inaitwa 'tunatapeli.com'
Leta mchongo wowote, $,€,£, au ¥ feki. Maji ya viroba, konyagi mwitu, saa na tv feki kila kitu kinauzika. Im a jackal of all trades

yan we ni wa muhimu sana kwangu, kuna tajiri moja humu lenyewe linajidai kuturusha roho na vijisent vyake, ngoja nikupm tufanye mchongo kulitapeli. . .
 
hebu endeleeni kutaja, me naenda kucheck na King'asti kuhusu mchongo wa pesa. kama mjuavyo pesa ndio sabuni ya roho!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom