My hubby is in love with boflo

My hubby is in love with boflo

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Yaani hapendi tena vitumbua, yeye ni mkate tu siku hizi!
 
Ushaambiwa hakuna Boflo ngumu mbele ya Chai!"
BTW ndo hvo tena,msake Boflo alipo umpe makavu.
 
Duh! Wifi saaaasa....

Yaani kabadilika ghafla, siku zote chai tulikuwa twanywa na vitumbua; jioni hii namkaribisha anadai mkate. Ndani hatuna jam wala nutella! Khah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom