Hiyo itakuwa kutu

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
Juliety alikwenda kumwona daktari baada ya kusumbuliwa kiafya. Maongezi yao yakawa hivi:
Juliety: Dr Ninatatizo la kupata mkojo wenye rangi ya njano.
Doctor; kwa wastani huwa unafanya mapenzi mara ngapi kwa mawaka?
Juliety; kwa mwaka mara moja
doctor; Basi hiyo itakuwa kutu.
juliety aliondoka bila kuaga.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom