I hate gossip ila hapa naomba nipewe ufafanuzi

teheeee...
hapa na mm sitoki mpaka nipatiwe majibu...gossipers plzzz!
 
Si yule mwenye jina la S...l.....ma? Nasikia kaoa eti! Hebu tupeni ukweli maana hizi tetesi zimezidi, ila dini ya mkuu inaruhusu hilo.:A S 39:
 
Si yule mwenye jina la S...l.....ma? Nasikia kaoa eti! Hebu tupeni ukweli maana hizi tetesi zimezidi, ila dini ya mkuu inaruhusu hilo.:A S 39:

Yap.. Ukija kwenye masuala ya dini inamruhusu na taratibu zote zinamruhusu kabisa sema gossip na vimbanga vya wakubwa lazima tujue kwa undani. Naona kumbe humu ndani watu hawajui vitu ama JF inazeeka sijajua bado
 
mbna navojua huyo slm aliolewa na mtoto alokua mkuu wa majesh zaman, gm
 
mbna navojua huyo slm aliolewa na mtoto alokua mkuu wa majesh zaman, gw
 
hizo story zipo siku nyingi sana.

kama unakumbuka kuna kipind akasema adharani yy ana 1 tu na watoto 8 wanatosha,

akaenda mbali zaidi na kusema akioa sasa hv atawapa shida akina ris kumsaidia kulelea.
 
wote ninyi ni wambeya na wanafiki, hayo mnayatakia nini? yatawasaidia nini?

haya mwenye ukweli na kujua mambo yalivyo basi atujulishe na wengine ilitujue pia.....
 
Back
Top Bottom