Ukisinzia tunakusachi !

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,855
6,213
Heshima kwenu wadau,

Nipo safarini kwenye dala dala naenda kumcheki mwana Tandika..

Mbele ya dala dala kwa ndani kuna bonge la tangazo " ukisinzia tunakusachi" na kumcheki huyo konda mwenyewe na dereva nimechanganyikiwa... Halafu usingiz unaninyemelea
 
Kazi kwako...amua moja kukata kiu ya usingizi usachiwe au kukomaa macho ili wasikusachi.
 
mi nilifikiri unabakwa kumbe unasachiwa kama vipi lala wajaribu waone si nasikia ulishaishi china.
 
Back
Top Bottom