Msikie huyu jamaa ndani ya ibada

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Leo kanisani ibada inaendelea, muda wa sadaka kapu linapishwa kila mtu akatoa sadaka, ila jamaa mmoja alipokea kapu akampa mtu wa mbele yake bila kutoa, mzee wa kanisa kamuuliza vipi we mbona hujatoa? Lijamaa huku likijiamini likajibu mimi ni STAFF
 
duh, hana tofati na yule sharobaro alomwambia demu wake 'acha ntalipa' hahahahahah
 
Mchemsho nimecheka wakati naisoma sikujua ingeishia hivyo.
 
Km jamaa yangu huwa haendi kanisani. Ukimwuliza kwanini hapendi kwenda kanisani huwa anajibu, ''huwa haelewi amefanya kosa gani hadi kupigishwa magoti''
 
Back
Top Bottom