Lo!! Tafakari haya!!

Kipstech

Member
Feb 15, 2012
38
22
Jamaa flani alikuwa akisafiri kwa taxi,akapita kwenye bar mmoja yenye geust house akamuona mke wake akiingia ndani ya hiyo bar.
JAMAA:"Dereva hebu simamisha gari....unataka elfu moja ya chapchap?"
DEREVA:"Bila shaka mzee."
JAMAA:"Mke wangu kaingia kwenye ile bar,picha yake hii...nenda ukamtoe na umlete hapa ukiwa unampiga vibao!!"
(Devera akaingia ndani ya bar,baada ya dakika chache akatoka anamsukuma mwanamkena makonde juu.)
JAMAA:"Mbona umekosea huyo si mke wangu...ushahar ibu mambo."
DEREVA:"Najua, huyu ni mke wangu niangalilie,ach a niende kumtoa wako sasa!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom