Babu vua wani la mbao!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Katika vitu vimenihuzunisha ama sijui niseme vimeniskitisha! Whatever ni pale nilipokutana na Babu kwenye Sredi iliyoletwa hapa jamvi jana, yenye headin "Yanga Vs Simba".

Katika kuchangia kwetu thrade ile, Babu ameinasibisha Yanga na ccm (sisieka) kufuatia rangi zitumikazo Jangwani means green with yellow!

Mi sikubaliani na mtazamo wake, ofcoz mie niandikie hapa sina malav na chama yeyote ya politiki !
Politiki yangu mie ni mkwanja tu! Hapohapo mi ni mpenzi wa Yanga wa kutupwa! Niko tayari kunywa Yanga's water flag !

Swali langu kwa Babu na kwa wadau wenye mtazamo wa alama ya "mines" kama Babu nauliza kama Yanga ni Ccm , je ni vipi Aden Rage club chairman wa Msimbazi awe Mbunge toka magwandani ?
Mkinijibu hili leo hii nahamia Simba.
Babu umenisababisha nijiulize miswali kibwena yenye majibu haba!
Hapa najiuliza hua unafanyaje ukaguzi huku umivaa timberglass?
Au akina 52 wanakukagulia ? Ama niaje!
Mimi sijui .
 
Acha hasira mtani. Asili ya YANGA ni kuwa ilikuwa club ya vijana wa TAA iliyozaa TANU nayo ikazaa CCM. Rangi haijawahi kubadilika! Angalizo: Siku hizi za vyama vingi haijalishi tena khs timu ndio sababu hata baadhi ya mashabiki wa YANGA ni wapinzani.
 
Acha hasira mtani. Asili ya YANGA ni kuwa ilikuwa club ya vijana wa TAA iliyozaa TANU nayo ikazaa CCM. Rangi haijawahi kubadilika! Angalizo: Siku hizi za vyama vingi haijalishi tena khs timu ndio sababu hata baadhi ya mashabiki wa YANGA ni wapinzani.

Mkuu labda umen'nukuu kinyumenyume! Coz haitatokea siku mi eti nikawa na hasira Jf!
Forever incrideble! Mi hapa nimemshukia Babu ki'dizaini na mie na Babu na wewe kwa vile tuko mitaa ya tofauti Msimbawazi na Jangwani ni must tu'watani tu! Vyovyote itakavyokua.
 
Back
Top Bottom