Dereva Taxi na mtalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva Taxi na mtalii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by pilau, Oct 3, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mtalii mmoja alishuka airport akakodi taxi, ......... wakiwa njiani kelekea mjini dereva wa taxi akajamba shuzi kali muda kidogo dereva taxi akamuuliza mtalii ...unaionaje hali ya hewa? ... Mtalii akajibu Looooh! ikiendelea hivi itanyesha mvua ya mavi
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,282
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  Huyo ni mtalii wa ndani au wa nje...?
   
 3. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 3,542
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  Naona huyo dereva alikuwa amekula PILAU iliyo zidi viungo/iliyo kuwa imeunguwa.
   
Loading...