naombeni dua/sala zenu!

Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona kimya..............

Hahahahahaha......................!!
Yaani wewe bado unapima miwaya wakati inajionyesha yenyewe..................!!
Njoo kwangu dk 1 majibu tayari..................!!
 
Mkuu usiogope majibu..
Njia sahihi ya kuishinda hofu hiyo ni kujiona kuwa uko salama tu..usifikirie juu ya wote uliowahi kudate nao,jione uko salama kabisa. Ukiweza hiyo utapokea majibu bila wasiwasi..Hata wakianza kukushauri usitie shaka mkuu.
Hope majibu yatakuwa poa.
 
Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona kimya..............

Aah! Usumbufu wote huo wa nn? Kupoteza muda na fedha bure.. Kupima anatakiwa apime yeye ili kujua status yako. Esp akiwa mjamzito ndo vyema zaidi. Note: iwe siri yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shem umeniacha hoi he!!??? Ulikuwa hujapima muda wote huo?? Mara ya mwisho umepima lini???

Hongera kwa kuwa na nguvu na moyo wa kwenda kupima..........

Usiogopeee sana wala hakuna shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom