nakupenda sana mama yangu mamndenyi

nakupenda sana mama yangu mamndenyi

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
shikamoo mama yangu Mamndenyi

nakupenda sana mama,lakini mama upamoja na kukuhudumia kila ukipendacho kwakua mwanao nimejaliwa mapesa na mwenyezi mungu,mali na kila kitu kwa leo najiskia nikupe zawadi hii mama yangu kwaajili ya mahemezi ya mwezi,siunajua tena mwisho wa mwezi huu
images
images

pamoja na
images
images

imgres

Alafu mama nimechoka kuishi bila mke nimuoe nani?
 
Last edited by a moderator:

Muoe Yummy .....ukishindwa BADILI TABIA atakufaa.......ukitaka wa ukweli zaidi mchukue cacico .....nimekutajia hao manake ndio wako single kwa sasa baada ya babu Asprin kuwabwaga kwa kishindo!
 
Last edited by a moderator:
Sio hizo bana wewe kijana mzima na mindevu umeijaza kidevuni wasubiri mama ako akuchagulie mke????

ha,ha,ha,ha,......... nimejiskia hivyo ndio raha yangu si unajua raha unajipa mwenyewe?
 
Back
Top Bottom