zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Duh leo hako ka operation kalikuwa mitaa ya huku kwetu...jamaa hawa ni Wataalamu waliobobea kuchana nyavu acha kabisa...na kwa wale walio oana na kuolewa,au wanaopenda kulala wawili wawili,kama wangekuwa na Digital camera,Wallah pasingetosha kwenye Magazeti ya Shigongo....
Duhh kazi Ngumu na Wameamua kujiajiri.....
Duhh kazi Ngumu na Wameamua kujiajiri.....