acheni kujidai

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Kumbe ajira zenu ni hizi?
Nyani Ngabu - mchimba makaburi wailesi
ruttashobolwa - hakimu mahakama ya mwanzo kiburugwa
Madam B- paparazi gazeti la kiu
Babu DC- mstaafu afrika mashariki
The Boss - hedimasta tambaza (afazali kidogo huyu).
Mr Rocky -akauntant wa finca
Erickb52 - chalii,kapiga debe stendi moshi
Lizzy - nesi
Mamndenyi - bi mkora in real life,anafuga mapaka mwananyamala
sweetlady - sekeletare wa mzee Slaa
nitonye - mfanyabiashara maarufu
Vin Diesel - mpigaji,patna wa papaa msofe
Asprin - mchoma nyama fyatanga
cacico - mhudumu fyatanga
BADILI TABIA - mhudumu fyatanga
Yummy - mhudumu fyatanga
Kongosho - mwosha vyombo fyatanga,sa ingine anaosha magari na pia mlinzi
AshaDii - bodegadiwa sofia simba
Mtambuzi - karani mahakama ya kisutu
Young Master - yuko intern muhimbili
Bishanga - hedge fund mananger, bank of scotland,new york branch.
.........itaendelea
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ajira zenu ni hizi?
Nyani Ngabu - mchimba makaburi wailesi
ruttashobolwa - hakimu mahakama ya mwanzo kiburugwa
[MENTION=88388]Madame B- paparazi gazeti la kiu
Babu DC- mstaafu afrika mashariki
The Boss - hedimasta tambaza (afazali kidogo huyu).
Mr Rocky -akauntant wa finca
Erickb52 - chalii,kapiga debe stendi moshi
Lizzy - nesi
Mamndenyi - bi mkora in real life,anafuga mapaka mwananyamala
sweetlady - sekeletare wa mzee Slaa
nitonye - mfanyabiashara maarufu
Vin Diesel - mpigaji,patna wa papaa msofe
Asprin - mchoma nyama fyatanga
cacico - mhudumu fyatanga
BADILI TABIA - mhudumu fyatanga
Yummy - mhudumu fyatanga
Kongosho - mwosha vyombo fyatanga,sa ingine anaosha magari na pia mlinzi
AshaDii - bodegadiwa sofia simba
Mtambuzi - karani mahakama ya kisutu
Young Master - yuko intern muhimbili
[MENTION=11167]Bishanga- hedge fund mananger, bank of scotland,new york branch.
.........itaendelea

Looh!!
Huna hata haya,
Bank gani unayofanya kazi wakati kila siku hueshi kuja ofisini kwetu ili tukuuzishe sura kwenye magazeti.
Afu unasema uko Scotland wakati unaishi Kimanzichana.
 
Last edited by a moderator:
Looh!!
Huna hata haya,
Bank gani unayofanya kazi wakati kila siku hueshi kuja ofisini kwetu ili tukuuzishe sura kwenye magazeti.
Afu unasema uko Scotland wakati unaishi Kimanzichana.

Utasema kila kitu,halafu wema sepetu anakutafuta kwa udi na uvumba,anadai we ndo umevumisha kuwa kamachwa na diamond kisa alifumaniwa na juma necha,yatakushinda!
 
Heri mimi hujajua kazi yangu. FYI mimi kazi yangu ni kufagia barabara za Arusha na kuzibua toilets.
 
Utasema kila kitu,halafu wema sepetu anakutafuta kwa udi na uvumba,anadai we ndo umevumisha kuwa kamachwa na diamond kisa alifumaniwa na juma necha,yatakushinda!

Punguza povu ndipo uongee Bishanga.
Yule hana lolote amesikia nimeshinda U-Miss ndio ananitafuta ili anifundishe jinsi ya kuishi Kistaa.
 
Last edited by a moderator:
Punguza povu ndipo uongee Bishanga.
Yule hana lolote amesikia nimeshinda U-Miss ndio ananitafuta ili anifundishe jinsi ya kuishi Kistaa.

Taarifa za kiintelijensia zinasema ulitoa hongo ya ngono kwa mamodi waka twist data ndo ukashinda u miss,takakuru wanakusaka.Rutta analijua hili?
 
Last edited by a moderator:
Taarifa za kiintelijensia zinasema ulitoa hongo ya ngono kwa mamodi waka twist data ndo ukashinda u miss,takakuru wanakusaka.Rutta analijua hili?

Bishanga p'se usinivunjie uchumba wangu na Rutta.
Na akiniacha naja kuishi huko,
kwanza,me bado niko Sealed,sasa hyo ngono nimeifanyia upenyo gani?
Narudia tena,usinitie majaribuni.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga p'se usinivunjie uchumba wangu na Rutta.
Na akiniacha naja kuishi huko,
kwanza,me bado niko Sealed,sasa hyo ngono nimeifanyia upenyo gani?
Narudia tena,usinitie majaribuni.

Ta rutashobolwa wagaulila agai,omwana ngu ni kanyalewa nayela pepepepe!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, nimejipigia naosha magari au nikiwa mlinzi naelekeza watu wapaki magari yao nikiwa na bikini na bra lol
Wateja kibao. . .

Bishanga lazima unifanye sekretati huko skotilandi
 
Back
Top Bottom