Tucheke Kisiasa. Ufisadi haukubaliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tucheke Kisiasa. Ufisadi haukubaliki

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by babalao 2, Oct 9, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,217
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Kutokana na mijadala mizito hatuna budi tukijiliwaza na tuneno kama hutu twa siasa.
  UFISADI TRAINING COLLEGE
  Inakutangazia kozi zifuatazo
  1- Wizi wa kura
  2- Utumiaji wa vyeti bandia
  3- Ulipaji wa mishahara hewa
  4- Uanzishaji wa kampuni hewa
  5- Jinsi ya kuiba misaada ya watz
  6- Ajira za kubebana
  Chuo kitakupeleka field EPA, TRA,KAGODA NA MEREMETA.
  Baadae utapata ajira RICHMOND DOWANS NA KIWIRA.
  Chuo kimeshatoa wahitimu kama ROSTAM, LOWASA,MRAMBA, CHENGE, KARAMAGI NA MGONJA KWA UCHACHE.
  Fomu zinapatikana IKULU BOT NA OFISI ZA CCM NCHI NZIMA.
  JAMANI TUMKUMBUKE BABA WA TAIFA KWA VITENDO TUUKEMEE UFISADI NA RUSHWA.
   
Loading...