haiwezekani itakua ni kosa lingine ila sio ivo mana anvoonekana na sura yake sio ya sekta izo kabisaaaaaaau alifumaniwa??
huyo shostito sasa lol!......au ndio mana kapewa nakozzzzzz mana ka hatabiriki vile kama me au ke jamani....mana mume akichek sauti wote nzito ndani hakuna hata hewa
Hiyo haitaweza kutokea kabisa kati yangu na my wife wangu mpenzi wa kumoyo marejesho. Siwezi kabisa "kumlimboka"
mi sikubali lazima ntalianzisha nimekaa kimya napanga mkakati naona mnazidi ngoja nitumie trick ya shosti wake lara1
Amepigwa na 'kitu kizito'. By Kamhanda.
Amepigwa na 'kitu kizito'. By Kamhanda.
we we we we! Naona unataka kufanywa alivyofanywa huyo dada!
ha ha ha kwa njia ya shosti wake lara1 ya kwa babu wala sihitaji nguvu utahama mwenyewe na ndio itakuwa mwisho wa huyu marejesho wako,
Afu hicho kitu kimetokea upande waliokuwepo wafuasi wa CDM by Kamanda Chagonja!