nasikia harufu ya damu.

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije litutukane chichat bila sababu, nyie wana wa kutoka pachafu mnaokuja kututukana hapa chichat eti hatuna akili jiandaeni kuvaa suruali pana bila kufuli,ku....la mafyampuzi yenu.
 
Kamanda Bishanga naunga mkono hoja 100% nasimama, nagonga meza kuonesha msisitizo.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kama vipi wapotezeiyeeeeeee!! they dont worth your efforts!

Si unaona serikali imewekeza mabilioni kuwaondoa kunguru wa dar,acha niwekeze,ujue nini cacico,wanatufanyia makusudi baada ya kuona jukwaa la chitchat linaimarika,halafu ujue hakuna jukwaa rahisi ku break barriers kama chichat,kuna watu kinawauma.
 
madhara kuogea mkojo wa nyati!! unawashwa kila mahali haswaaaa masaburi, achana nao Bishanga!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom