hodi hodi humu ndani nmerud nilipata matatizo

Duzente Siqwente

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
265
59
Habarini za cku wana jamvi natumai mu wazima wa afya awali ya yote nimshukuru mungu anayenipa pumzi ya kila cku bila ujira wwte nilipata matatizo ya kuibiwa kila ki2 vikiwemo laptop,mobile , walets na ATM cards zote niliporudi mwnza nikiwa natokea ukerewe ila namshukuru mungu mm niko salama na hawakunijeruhi popote mwenyezi mungu ameniokoa na ninaendelea na majukumu ya kila sku.....asanteni sana na mungu awabariki sana
 
duh pole sana mkuu...ulifanikiwa kuzipata mali zako?
 
Habarini za cku wana jamvi natumai mu wazima wa afya awali ya yote nimshukuru mungu anayenipa pumzi ya kila cku bila ujira wwte nilipata matatizo ya kuibiwa kila ki2 vikiwemo laptop,mobile , walets na ATM cards zote niliporudi mwnza nikiwa natokea ukerewe ila namshukuru mungu mm niko salama na hawakunijeruhi popote mwenyezi mungu ameniokoa na ninaendelea na majukumu ya kila sku.....asanteni sana na mungu awabariki sana

muwe mnalala na mabamedi wasiowezi onana waka kukigoma malima sasa hivi unaanza moja khee...

pole sana kwa majanga mkuu kama upo poa haina mbaya tusongeshe tu lyf..
 
pole na karibu sana ila kwann hamtaki kusema kunaki huko mwanza jamani lol!
 
Pole sana na karibu tena........unaweza kuelezea ilikuwaje?......humu ndani kuna police anaitwa Filipo anaweza kukusaidia......fafanua kidogo tafadhali
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu, kumbe mwanza kuna vibaka eeeh! Duh mie sirudi tena kama ndio hivyo
 
duh,pole sana. tatizo unavamia jiji bila kugonga hodi, hamjui kuna wenyewe?
btw pole sana tatizo pia ulienda maskani ya vibaka kirumba resort na viunga vyake. hebu muulize Erickb52 alikuwa maeneo gani? ye alipofika aligonga hodi na kututafta wazee wa mji, alienjoyjeee!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na karibu tena........unaweza kuelezea ilikuwaje?......humu ndani kuna police anaitwa Filipo anaweza kukusaidia......fafanua kidogo tafadhali

kweli hunipendi! Yaani polisi na cdm wapi na wapi? Mzima weye! Mimi missing wewe sana!
 
Last edited by a moderator:
kweli hunipendi! Yaani polisi na cdm wapi na wapi? Mzima weye! Mimi missing wewe sana!

Nakupenda kuliko anavyokupenda marejesho .......mie mzima sana ......sijakuona kwenye mkutano leo mtaa jaluo......umeanza kuwa gamba au?

Mimi missing wewe zaidi ya sana!
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda kuliko anavyokupenda marejesho .......mie mzima sana ......sijakuona kwenye mkutano leo mtaa jaluo......umeanza kuwa gamba au?

Mimi missing wewe zaidi ya sana!

Hapo kwenye blue, tutaongea wife akiwa kazini!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom