Nimetumiwa ujumbe kwenye sim yakuwa nizime simu kati ya saa 6:30 na 9:30 kisa mionzi leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetumiwa ujumbe kwenye sim yakuwa nizime simu kati ya saa 6:30 na 9:30 kisa mionzi leo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Baba Mchungaji, Oct 9, 2012.

 1. B

  Baba Mchungaji Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu siku ya leo na usiku huu nimetumiwa SMS ya kuwa
  ``Leo usikusaa 6:30 na saa 9:300 Miale ya Cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari. Chanzo cha habari ni NASA BBC NEWS Tafadhali wape taarifa wengine.''

  ujumbe umekaa hivyo kwahiyo aliyeona atujuze zaidi au anieleze kama siyo kweli
  Nawasilisha!
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  Uongo huo

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  we umetumiwa leo!!!wengine toka jana na siku isha pita!
   
 4. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hiyo msg huwa inazunguka zunguka kwa watu wengi ni uwongo huo,
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mie nilitumiwa wiki tatu zilizopita na hakuna kilichotokea
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Mimi nilitumiwa Jan 2012 same same msg....sasa wewe amua utakavyopenda....mionzi haiwezi pita kwenye radio waves....ambazo zina magnets
   
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  Mm niliusubiri muda huo kati ya saa 6 hadi saa 9 usiku tena nje na na simu 3 hakuna kitu hiyo
   
Loading...