takukuru wapo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

takukuru wapo wapi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by jitukubwalao, Oct 9, 2012.

 1. j

  jitukubwalao Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  wapendw waungwana jana huko Tarime ccm wamepigana na kurushiana viti je takukuru hawapo huko?kwani chanzo cha vurugu hizo ni rushwa,kwanini wasiwakamate watoa rushwa?:A S 465:
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hhaaa hhhaaa hhhaaaa. Nipo Jukwaa la utani/vichekesho
   
 3. L

  Lekausia Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda kwenye wall ya siasa hapa atujui heh
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Duh! Jukwaa la siasa limejaa mpaka wameamua kuhamishia threads nyingine huku
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  inachekesha ahahahahahahahhahahahahahhahahahaaaaa......weh mgonjwa
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ... Mwambie atuondolee hizi threads za stress bhana. Kama kumejaa si mods wa delete old sms bhaa !!!(sorry old nyuz).
   
 7. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kiatu hata kiwe kipya na cha gharama lakini ukikiweka kitandani ni uchafu. so hata ikichekesha hapa si mahala pake.
   
Loading...