Nimeyajua Machungu ya BAN! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeyajua Machungu ya BAN!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Msherwa, Oct 9, 2012.

 1. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuwamis wana jf kwa siku 31, sasa nimeujua uchungu wa BAN, hasa ikukute kwa kuwatukana bodi ya mikopo ukidhani wanakusikia. Ni kuomba radhi tu kwa sasa, maana body washafunguka na kitu kimetema. No matusi tena! (bt nahis hii thread haijakaa mahali pake, hv wafungwa wa BAN, huanzia wapi wakirudi?
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  duh pole ila jifunze kurespond kwa hoja na si lugha za matusi ama kejel smtimes its better kusoma 2 bila kucontribute
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Karibu sana,ila kuna mwengine humu,atafuata.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  nani tena Madame B...??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mimi hapa Katavi au hutaki?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mmmmh!! Ukipigwa ban na mimi naenda kuchafua hali ya hewa kule jukwaa la siasa ili nikufuate jela.
   
 7. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano wa kupiga BAN wana jf wote kawa watavunja sheria, au kuna staffs humu
   
 8. peri

  peri JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  akifuata ushauri huu hatopigwa ban tena.
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Huyu mwenzako atapelekwa gereza la wanawake.... Utaishia kwenda kukutana na Mapopo!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! Mimi nilidhani gereza la JF ni tofauti na haya ya mtaani?? Kumbe hakufai najua ni full kujichanganya bila kujali jinsia.
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: tena ukiingia kule we taja neno RAMA tu ujue SEGEREA unaichungulia
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  ruttashobolwa kakuudhi nini? Au umemfumania?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Asante ndo mana huwa unanikoshaga sana na swaga zako Katavi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Usijali tutaomba chumba chetu special.
  We kawatibue kule Siasani.
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hapana,hajaniudhi chochote,
  Basi tu imekuja kama Ajali.
  Afu Bishanga nina Kesi na wewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Acha Kubanabana wewe.
  Acha kutisha wenzako.
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Pokofame karibu sana
  jifunze kutembelea majukwa ambayo ni stress free zone maana kuna mengine ukiingia tuu lazima matusi yakutoke
  ukijibizana na zomba au Ritz ujue hapo ban inakuhusu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nakuunga mkono kiongozi, mie nilipigwa ban ya 7days yaani unakaa unasoma tu post kwa mbaaaali huwezi changia dah inauma sana!
   
 19. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wewe ulifanikiwa kusoma post vipi?
  Ukiwa logged in hata post kusoma huwezi,labda uingie kama guest.
   
 20. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Yaani ulivyoona unaelekea motoni ndiyo unashawishi wenzako ili muende wote?

  Hii ni Tufe wote style na Mungu hapendi.
   
Loading...