JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hakikisha unacomment lolote HAPA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A guy stuck his head into a barber's shop and asked, "How long before I can get a haircut?" The barber looked around the shop full of customers and said,"About 2 hours." The guy left. A...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baba yako mzazi kiatu kimechakaa mwaka wa Pili sasa,umeuchuna,na kazi unafanya...Umejikakamua umenunua tiketi 2 za Fiesta pale getini kwa 50,000 ili umu- impress bebi...Anafika ndani anapiga...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
1. Ukiona kila unapotaka kusema FANTA, unasema FANDA ujue una damu ya Kihehe 2. Ukiona kila unapotaka kusema SODA, unasema THODA ujue una damu ya Kipare 3. Ukiona kila unapotaka kusema KAFARIKI...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mzee mmoja alimtumia mjukuu wake aliyefungwa gerezani barua:- Mjukuu wangu mpendwa nina huzuni sana mwaka huu sitoweza kulima viazi kwenye shamba kwa sababu wewe uko gerezani na sina uwezo wa...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Kelly's BOOBs popped OUT
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani watanzania wenzangu tuliambiwa mvua zitanyesha mfurulizo siku nne mbona kimnya,au ndiyo dalili za mvua mawingu?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nani wanaoongoza kwa kudanganya kwenye simu? Wanaume au Wanawake? Haya fungukeni bila uoga!
3 Reactions
85 Replies
5K Views
Wandugu, leo yani nina hamu kweli ya kufumaniwa na mke wangu! Yani sijui kwa nini natamani anifumanie katandani. Hebu mwenye uzoefu wa fumanizi ajitokeze tujipange kwenda guest ya karibu na...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
heshima mbele wana chit chat, nina imani kila mmoja wetu hapa ana siku 2 ambazo hatazisahau maishani mwake. 1st. ni siku ya furaha, hii siku ambayo ulifurahi furaha isiyo na kifani. . . 2nd...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Bishanga- Bukoba Mjini. Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini. Erickb52 -Simanjiro Kongosho-Newala Cantalisia-Kisarawe Dark City-Temeke Mtambuzi-Ilala BAGAH- Kinondoni Rejao-...
16 Reactions
393 Replies
20K Views
Dah jamani rahaaa.. Kweli wadau mnafaidi, kwa mara ya kwanza mtu mzima nimetua midwest pande za chicago illinois ndan ya ORD nawait connection yangu ya 3 kuelekea zangu grinnel iowa,, nataman...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna dada alipnda kwene daladala akakaa karibu na deleva, deleva alikua amemtamani akawa kila mara anabadili gia na kumgusa dada pajani. Yule dada akamwambia we hujasoma bibilia kifungu No...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Ni raha sana pale unapokuwa unashida ya kifedha mara ghafla unayemdai kwa muda mrefu anakuletea pesa nyumbani 2. Ni raha sana pale unapofanya mtihani mgumu na ukaandika OP na matokeo yakitoka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
mitihani ya kidato cha nne inayo endelea wiki hii jana hali ilikuwa hii baada ya mwanafunzi kudakwa na kibuti... ticha;hiyo nini? denti;kwani hujui? haya ni majibu ticha;simama utoke kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kichaa moja alitoroka katka wodi ya vichaa alpofika nje akaingia kwenye kibanda cha cm akapiga mapokezi ya ile hospital akapokea nesi aliyekuwa zamu kichaa akamwambia nesi hebu nenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bhana ee kama hujui kusoma hata picha angalia alafu unipe sababu za haya kutupata sisi jinsia ya kiume
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Sijui Wanaompenda sana au kumchukia Wananwita Facebook badala ya Mbuyu Twite
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hamjambo wana JF. leo wakati nina login email yangu nimekutana na hiki kisa na mineona vizuri nikishare. naombeni maoni yenu. click on the link heaven-real-says-neurosurgeon-claims-visited-afterlife
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…