Nina hamu ya kufumaniwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina hamu ya kufumaniwa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bondpost, Oct 8, 2012.

 1. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Wandugu, leo yani nina hamu kweli ya kufumaniwa na mke wangu! Yani sijui kwa nini natamani anifumanie katandani.

  Hebu mwenye uzoefu wa fumanizi ajitokeze tujipange kwenda guest ya karibu na home ili majirani watuone ili anifumanie.

  NB: Nia na madhumuni sio baada ya
  Kufumaniwa uanze kuniganda.
  Nataka anifumanie halafu nia-
  Nze kumbembeleza tu!
   
 2. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  mkeo atakuwapo sawa,na mwenye mwanamke wake uliekutwa nae akiwepo kazi unayo,siku hizi mwenye mali akikufumania anakukula tigo!baada ya kukupa huo ujumbe wako je hamu yako ya kufumaniwa bado unayo?
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni roho ya kishetani...nenda katubu.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  acha nipite, kuna watu wanatafuta viranga kwenye ndoa zao
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sumu haijaribiwi kwa kuionja!
   
 6. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ujue na mkeo leo naye anahamu ya kufumaniwa,
  we ukitoka tu kwenda gesti hausi na yeye atatoka kwenda kwa kidume wake wa kando..nani atamfumania mwenzake unahisi? Jiulize kama utamsamehe ukimfumania.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Khaaa hii yako kali kuliko
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,149
  Likes Received: 12,857
  Trophy Points: 280
  Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Uzinzi mbaya ni dhambi

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hebu kabla sijakujibu , kwanza rejea uangalie ni aina gani ya sigara unayovuta?
  Kama ina maandishi tutaendeleza mjadala, kama ni ile isiyo na maandishi nafunga mjadala, kwani swali lako litakua linaendana na hiyo fegi .
   
 10. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Sigara inamaandishi ya 'DUNHILL'. Mie mwenzenu ni hamu tu kama wewe unapokuwa na hamu ya kula burger au samaki. Nisaidieni kabla jimbi hajawika!
   
 11. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Please sweetlady saidia mimi, muda unazidi kuyoyoma na guest karibu inajaa! Wadaku wataenda kulala nitakosa kufumaniwa!
   
 12. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Sasa mie mwenyewe mdhambi kwa nini nisimsamehe na yeye?
   
 13. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  He he he! Kwa jinsi navyomjua mchaga wangu ataniua aisee! Sijui siku hiyo nitajichimbia wapi.
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kazi kwelikweli
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hii ngumu ndugu yangu Bondpost lol......kwa leo kubali kuwa jaribio limeshindikana.....kalale ujiandae upya......na je huyo mkeo huwezi kumbembeleza bila hajakufumania?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Sitaki kufumaniwa na mke wa mtu bwana mkubwa, wasije wakani-0713 bure! Watayaona kwenye suruali hivi hivi hakuna wa kuyagusa!
   
 17. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Umewahi kumkosea mtu halafu ukaanza kumbembeleza? Wajisikiaje? Wacha niwahi home tu ishakuwa tabu, nimejaribu kuwinda wa kufumaniwa nae watu waoga wa fumanizi kumbe!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Kweli nimegundua watu wanapenda uroda wa kuiba ila waoga kufumaniwa. Na ujanja wote huo?
   
 19. F

  Fofader JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Nafikiri utakuwa unaumwa. Nenda pale Muhimbili kuna kitengo kinaitwa Psychiatry watatatua tatizo lako. Kila la kheri.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Makosa mengine hayasameheki , usijejikuta unaambulia kibuti badala ya msamaha!
   
Loading...