huku kuzuri sana, Nyani ngabu na wenzako mnafaidi sana,

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,852
6,204
Dah jamani rahaaa.. Kweli wadau mnafaidi, kwa mara ya kwanza mtu mzima nimetua midwest pande za chicago illinois ndan ya ORD nawait connection yangu ya 3 kuelekea zangu grinnel iowa,, nataman nisirud bongo... I can't imagine safari ni ya week 3 tu sijui nizamieee hukuuu kama ngabuuu au nirudi kwenye vumbi na mifoleni..

Ndo maana kiranja mkuu daily yupo huku maana japo usiku ni kuzuriiiiii kwa kweli ... Naomben ushauri wadau mshamba mimi nizamieee au nirudiii tandale
 
Dah hhhhhhhh

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Karibu sana, oh xorry kila mtu ni ndoto yake kuishi state..mwenyewe napatamani
 
Vipi wanauza kongoro na mbilimbi huko! nina mpango wa kuja huko niwekeee order ya ugali wa mhogo na bamia
 
Kamba hizo,mtoa mada muda si mrefu nimemwona kituo cha daladala ubungo maziwa.

Kwa hiyo akaingia kile choo cha kulipia akavuta kile KITU CHA ARUSHA, akapanda daladala akawa anabembea na akajiona yuko USA Bishanga??
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hata nikiwa ubungo, sishangai ndo maisha yangu ya kila siku hayo as mi mtoto wa kiswahili,, ndo nimekanyaga grinnel leo alfajir dah kusema kweli usa pazuri na hapa summer ndo imeishia mwenyej wangu anadai ningeiwah kipind cha july ndo ningeienjoy sana,, but si haba hata nilipofika naona rahaaaaa sana,,,

Dah kumbe usa ni mbali sana nilikuwa sijui maana nimetumia masaa zaidi ya 20 kwenye ndege mpaka nimeisi tutadondoka angani na ushambaaa huu.. Yaan hadi klm mdau wa anga anatingishika hewaniiiii....
 
Hata mimi nipo pande hizi, club moja hivi inaitwa Massawe Night Club, siunajua wachaga tupo kila pembe ya dunia, kama vp timba.
 
Back
Top Bottom