Nimetoroka au | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetoroka au

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Oct 10, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kuna kichaa moja alitoroka katka wodi ya vichaa alpofika nje akaingia kwenye kibanda cha cm akapiga mapokezi ya ile hospital akapokea nesi aliyekuwa zamu kichaa akamwambia nesi hebu nenda kitanda no.26 kaangalie kamaaaa kuna mtu au hakuna yule nesi akaenda haraka haraka huku simu ikiwa iko hewani kufika kule akakuta peupe ikabidi amwambie hakuna mtu kwan vp,yule kichaa akamwambia basi nilkuwa nataka nihakikishe kama nimetoroka au bado nipo ndani. kwaheri.
   
 2. m

  markdendesi Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli ni kichaa
   
 3. j

  jullieth Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakuvunda huwa halina ubani
   
 4. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu bado ni mgonjwa! Anaweza kusahau hata kama ana macho!
   
Loading...