teh teh teh

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
mitihani ya kidato cha nne inayo endelea wiki hii jana hali ilikuwa hii baada ya mwanafunzi kudakwa na kibuti...

ticha;hiyo nini?

denti;kwani hujui? haya ni majibu

ticha;simama utoke kwenye chumba cha mtihani

denti;we ticha unajua kabisa hata aliyetengeneza computer alijua hard disk inajaa akaamua kutengengeza external hdd.
 
karibu najua bado mgeni....umepewa lifti waongeza sauti ya redio......MWONGOZO WA SPIKAAAAAA
 
Back
Top Bottom