Wanawake vs wanaume... Nani anadanganya zaidi kwenye simu?

Mbona jibu liko wazi !
Si ni walewale wana......e !
Shuka chini uwaone
ulidhani nawaogopa?
Ni
w a n a w a k e .
 
Ukichukua Twakimu ya kwamba wanawake wanaongea mara tatu ya mwanamme kwa siku that means probability ya m/ke kudanganya ni kubwa cmpred na m/me.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nilivyodanganywa na sweetlady, nasema ke wanaongoza ila my wife wangu marejesho ananifanya niamini kuwa hata wao wanasema ukweli sometimes!
 
Jibu ya hili swali ni gumu kidogo, binafsi naona ngoma droo inategemea na mazingira ya wahusika.
 
Back
Top Bottom