lijue babila lako na uchapiaji wake

Oct 2, 2012
18
8
1. Ukiona kila unapotaka kusema FANTA, unasema FANDA ujue una damu ya Kihehe
2. Ukiona kila unapotaka kusema SODA, unasema THODA ujue una damu ya Kipare
3. Ukiona kila unapotaka kusema KAFARIKI, unasema KAFWALIKI ujue una damu ya Kihaya
4. Ukiona kila unapotaka kusema CEILING BOARD, unasema SINGLIBODI ujue una damu ya Kichaga

5. Ukiona kila unapotaka kusema MTOTO, unasema NTOTO ujue una damu ya Kimakonde
6. Ukiona kila unapotaka kusema UJI, unasema UCHI ujue una damu ya Kikurya
7. Ukiona kila unapotaka kusema ANAKUJUA, unasema ANAKOJOA ujue una damu ya Kijaluo
8. Ukiona kila unapotaka kusema NYUMBA YETU, unasema NYUMBIYITU ujue una damu ya Kingoni
9. Ukiona kila unapotaka kusema CHAI YA MOTO, unasema KYAI KYA MOTO ujue una damu ya Kinyakyusa
10. Ukiona kila unapotaka kusema TV, unasema TIWI ujue una damu ya Kihindi
 
Bado langu hujaliweka hapo

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
ukiona kila unapotaka kusema MBUZI unasema MBUSI ujue wewe ni mchaga orijino
 
ukiona kila ukitaka kusema : 'Thank You very much', ukasema : 'Senkyo Vere Mache', ujue wewe ni Mbena.
 
1. Ukiona kila unapotaka kusema FANTA, unasema FANDA ujue una damu ya Kihehe
2. Ukiona kila unapotaka kusema SODA, unasema THODA ujue una damu ya Kipare
3. Ukiona kila unapotaka kusema KAFARIKI, unasema KAFWALIKI ujue una damu ya Kihaya
4. Ukiona kila unapotaka kusema CEILING BOARD, unasema SINGLIBODI ujue una damu ya Kichaga

5. Ukiona kila unapotaka kusema MTOTO, unasema NTOTO ujue una damu ya Kimakonde
6. Ukiona kila unapotaka kusema UJI, unasema UCHI ujue una damu ya Kikurya
7. Ukiona kila unapotaka kusema ANAKUJUA, unasema ANAKOJOA ujue una damu ya Kijaluo
8. Ukiona kila unapotaka kusema NYUMBA YETU, unasema NYUMBIYITU ujue una damu ya Kingoni
9. Ukiona kila unapotaka kusema CHAI YA MOTO, unasema KYAI KYA MOTO ujue una damu ya Kinyakyusa
10. Ukiona kila unapotaka kusema TV, unasema TIWI ujue una damu ya Kihindi

wewe mwenyewe umechapia kwenye kichwa cha habari, kabila gani na wewe wanaochapia hivyo
 
Ukiona kila unapotaka kusema ASANTE, unasema THANK YOU ujue una damu ya Kihaya

Ukiona kila unapotaka kusema PILIPILI, unasema BILIBILI ujue una damu ya kizanaki
Ukiona kila unapotaka kusema MCHELE, unasema NCHEYE ujue una damu ya kizanaki/kinata/kingoreme etc
 
Back
Top Bottom