Je hujasoma kifungu n0.... Kwenye bible? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hujasoma kifungu n0.... Kwenye bible?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkubwa Jalala, Oct 9, 2012.

 1. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna dada alipnda kwene daladala akakaa karibu na deleva,
  deleva alikua amemtamani akawa kila mara anabadili gia
  na kumgusa dada pajani. Yule dada akamwambia we hujasoma
  bibilia kifungu No. (....) nini? deleva kwahofu kubwa akaacha
  huo mchezo na alipo rudi nyumbani akaenda kusoma kile kifungu
  akakuta kimeandikwa "OMBENI NANYI MTAPEWA".
   
 2. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 809
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  Deleva=¿?Dereva
   
 3. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,428
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hahaha mambo ya matayo 7:7,
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Lakini haijaandikwa tuombe uzinzi na ngono
   
Loading...