JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kifupi nam-admire kinoma mi mdada m1 humu. N natamani sana nionane nae. Ni hayo 2! Iko siku ntafunguka zaidi.. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1 Reactions
21 Replies
2K Views
good sunday JF, naombeni kuuliza. siku za jumapili nikiwa naenda church nimekuwa naona watu wakitembea hasa hii njia ya oysterbay along the ocean. wako dressed for a walk na ni wengi. mwanzoni...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Inakuwaje namba inakubeep halaf ukipiga unaambiwa namba hyo haipo ichunguze kwa makini na upige tena
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mara ya mwisho tuliachana paleee kwenye mishkaki ya firigis mwenzenu pacha wangu jamani hata wifi yangu sakapal nae simuoni! eh jamani nisaidieni kuwatafuta Madame B hujamuona chuoni huko? Nyani...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa anayejua Uhuru Park Bar, naomba maelekezo wanajamvi.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nimekuja kuwatembelea.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
ni furaha iliyoje kusherehekea siku ya kuzaliwa mpendwa wetu sweetlady! Happy birthday sweetlady, Happy birthday sweetlady, Happy birthday dear SL, Happy birthday to you, Many happy returns...
19 Reactions
498 Replies
22K Views
wana chit chat hope mpo poa leo nipo safari natokea arusha naelekea sgd safari hatia sala zenu muhimu sn.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kawa banned jamani. . .mods. . .I beg for mercy. . .lakini i just want to know, anajenga hoja kama mtu nnayemfahamu. . .nipeni mawazo wanajamvi.
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Samahani,naomba mtu aniandikie kwa maneno ya kiswahili namba izi mbili 10,001 na 11,000.Wengine kidogo lugha zetu za asali zimetualibu kiswahili kinapiga chenga.
0 Reactions
11 Replies
59K Views
ok, funga..
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hayaa tena wapendwa siku yetu ya kuwa na topic motomoto ndo hyo imefikawadau wote,mjiandae kwa mapoint kutakuwa na mada bab kubwa sana. stay here, will be back in a couple of hours.. take care...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Salaam.Leo nimekuja huku. Naomba kujuzwa kama nawezapata huduma ya Free Sms ya kujiunga katika mtandao wa AIRTEL mfano wa xtreme au tano ktk tiGO. Natoka MUHEZA,TA kwenda MORO na RAHALEO sasa...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Heshima pesa shikamoo makelele!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
E ! Kama RPC anauwawa wadogo itakuaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwa kila ikifikaga ijumaa nacheka sana..maana nahisi watu hasa kina dada huwa wanaiota itafika lini ili waje watuonyeshe pamba zao za mtaani.... basi kali zaidi..utawakuta hata wazee wenzangu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Three leaders of the big beer companies meet for a drink. The president of Budweiser orders a Bud. Miller's president orders a Millers and the president of Coors orders a Coors. When it is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The family of Mr Rice and Mrs Beans,sorrowfully announces the death of their daughter Stew who died in a stove accident at the university of kitchen.Among them were Dr Maggi,Prof salt etc.The...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Jamani nauliza hivi, kwa nini wanawake wengi wa JF wana 'like' nyingi kuliko wanaume! Naomba mnijuze, ni udaku tu jamani!! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wanajamvi nipeni majibu kwa nn wachaga,wapare na baadh ya makabila ya pande za kaskazini wanapenda sna kuishi maeneo ya kimara hadi mbez..
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom