Nipo safari (Arusha to Singida)

kapistrano

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,244
453
wana chit chat hope mpo poa leo nipo safari natokea arusha naelekea sgd safari hatia sala zenu muhimu sn.
 
kwanza useme umepanda gari gani usisahau namba ya gari.ili tukisikia puu§ tujue ulikuemohumo.safari nyema ukifika njia panda wasalimie wauza karanga mchemsho
 
Wasalimie pia msalimie na mpenzi wangu Doroth yupo hapo cairo hotel mwambie nampenda sana! Uwe makini na polisi jamii.
 
Last edited by a moderator:
Kila kheri katika safari yako, mungu akuongoze.

"Ni vyema afya zetu tuka zilinda zaidi ya wallet"
 
Safari njema ila usisahau kufunga mkanda mkuu...na kama hiko gari halina mkanda ni bora ukaachana nalo.
 
Mtei gari kimeo sana, hope wamelitengeneza.

Hili gari ni kimeo sana kapistrano, nakumbuka kuna siku nimepanda toka Singida kuelekea Arusha, kwanza wanasimama kila kituo na huwa halijai kwao, cha kushangaza askari wanalisimamisha njiani na sielewi huwa wanakagua nini, kufika njiani mitaa ya miserani snake park likaishiwa mafuta wakatoka na dumu la lita 20 nafuu yetu kulikuwa na kituo cha mafuta karibu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom