Vivazi vya ijumaa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vivazi vya ijumaa..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sarikoki, Oct 12, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huwa kila ikifikaga ijumaa nacheka sana..maana nahisi watu hasa kina dada huwa wanaiota itafika lini ili waje watuonyeshe pamba zao za mtaani.... basi kali zaidi..utawakuta hata wazee wenzangu wanapiga kimodel kuna vile vi tshirt ambavyo vimkono vinakua juu kabisa karibu na kwapa...na kama inamlazimu kuvaa t-shirt ya ofisini basi hapo chini kwene trouser ndio nakoma nao..kitu cha tight jeans... hehehhee.... wadada wanavaa na kujiremba mpaka wanajishtukia...jinsi imembanaaaa mpaka anakua anatembea kama anarudi nyuma..kama ni sketi basi fupi sana alafu inabana kiasi hawezi kupiga hatua...heheheh... du!

  Punguzeni jamani kina dada na wazee wenzangu pia mambo ya kuweka randi nyeusi na scrubing waachieni vijana.

  Ni hayo tu jamani...weekend njema na karibuni kesto kwa wale wanakunywa.
   
 2. awp

  awp JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  biashara matangazo, mahesabu j'2 usiku
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  hahahaa, mie leo nimetupia kigauni cha gwanda lolest. masuala ya skirt na blouse/shati ni j3 mpaka alhamisi. lolest. . . .
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kumbe leo ijumaa
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hakika umependeza ma client!
  Ijumaa njema!
   
 6. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mitego ya Kanga Mambo ya Kitanga Mx
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  thantee, mependezaje mie!
   
 8. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wasipopiga hivyo vivazi ofa zitatokaje.... wakati hali tete
   
 9. controler

  controler JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Afu kama nlikuona vile
   
Loading...