Msemo wa leo!

kwe mi nina kaka zangu chakushangaza nyumbani nikifika wana niita brother sunga. nakuniuliza habari za kazi. mwisho wa mwezi ukifika mama mwenye nyumba nilipo panga ananiuliza eti baba ule mzgo vip?
 
kwe mi nina kaka zangu chakushangaza nyumbani nikifika wana niita brother sunga. nakuniuliza habari za kazi. mwisho wa mwezi ukifika mama mwenye nyumba nilipo panga ananiuliza eti baba ule mzgo vip?

sasa Sunga ungependa wakuiteje hao kaka zako?
Brother ni jina la kistaarabu tu, au unapenda waseme mdogo wetu sunga?

Huyo mama mwenye nyumba pia anatumia lugha ya kistaarabu tu pia.
Au ungependa aseme 'wewe mpangaji nataka kodi yangu ya pango'
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom