Msaada unahitajika.

Kwa anayejua Uhuru Park Bar, naomba maelekezo wanajamvi.

Panda gari za M'Nyamala Shuka kituo Kinachoitwa Vijana/ au gari Binafsi.
Vuka barabara rudi nyuma hatua 5 utaona Bar imepaki magari mengi na pia kuna miti mingi ambayo imetundikwa taa za rangi mbalimbali mithili ya Upinde Udondokao basi ndo hapo hapo,Panaangaliana na The Global College.
Kama unaenda kunywa nipitie.
 
Hahahahahaha
umetishaaa

Theenx. . .na mie namuelekeza mtu. . .ntakupitia kesho twende samaki squared.
 
Madame B hayo ndio maeneo yako ya kujidai nini...maana umeeleza kwa ufasaha kweli.

Ni lazima yatakuwa maeneo yake ya kujidai hayo.
Vinginevyo itakuwa ni kitaa chake..ha ha haa
Just joke
 
Panda gari za M'Nyamala Shuka kituo Kinachoitwa Vijana/ au gari Binafsi.
Vuka barabara rudi nyuma hatua 5 utaona Bar imepaki magari mengi na pia kuna miti mingi ambayo imetundikwa taa za rangi mbalimbali mithili ya Upinde Udondokao basi ndo hapo hapo,Panaangaliana na The Global College.
Kama unaenda kunywa nipitie.

kwa nyama ya mbuzi paleeee!we acha kabisa!wanaitia kwenye foil kwanza dah!ad inaokwa wewe!acha tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom