kwann wachaga wanapenda kuishi kimara. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwann wachaga wanapenda kuishi kimara.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yaser, Oct 12, 2012.

 1. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,375
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wanajamvi nipeni majibu kwa nn wachaga,wapare na baadh ya makabila ya pande za kaskazini wanapenda sna kuishi maeneo ya kimara hadi mbez..
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,267
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Na mimi nauliza kwanini wahindi wanapenda kuishi Upanga na kariakoo??
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  hahahahahahhaaaaa wamezoea milima
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,438
  Likes Received: 3,233
  Trophy Points: 280
  Ili ikifika mwezi Disemba siku ya kwenda kuhesabiwa makwao waweze kupanda mabasi njiani,na si mpaka waende Ubungo.
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,978
  Likes Received: 9,823
  Trophy Points: 280
  Hawapati usumbufu kwenda stand ubungo!
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,070
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  Wako karibu na moshi
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,438
  Likes Received: 3,233
  Trophy Points: 280
  Kwani nyie huwa hamjiulizagi ni kwanini asilimia kubwa ya Masharobaro wazamiaji wa mambele a.k.a Majuu wanaishi Kimara?
  Fanya Utafiti kisha nisalimieni Jonasi Kiwia popote Alipo.
   
 8. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,617
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni kwasababu kimara na mbezi ni kaskazini mwa dar.
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ngoja waje wa2pe sababu!
   
 10. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wakiagiza mbege inafika chapchap ikiwa na moto kwani hakuna mataa pale kimara au mbezi..
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hapa kuna kaukweli,kila msichana wa Kimara niliyewahi kumtongoza aliitwa Manka,Aimbora,Kyekue,Mashamsham, Sia, mpaka nikasema duh ina maana wamejaa wao tu huku
   
 12. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,727
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  sasa kama kwenu moshi ukakae kivule au tua ngoma si balaa hilo... mjii huu usiokuwa na wenyewe lazima ukae usawa wa mlango wa kwenda mkoani kwenu kikilipuka tu..... mbiooooooooooo
  sababu ingine kimara imekaa vizuri kwa kufugia Noah....
   
 13. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  kweli akabisa,kimara inafaa sana kufugia Noah. hata ukitaka noah ya ukweli nenda kimara au mbezi
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,839
  Likes Received: 6,686
  Trophy Points: 280
  Hata Mbezi Beach mbona tupo tuuu...si tunatwanga kote kote..
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Napatia lift hapahapa nami ya kuuliza kwanini warangi huishia Ngarenaro tu hapa Arusha?
   
 17. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Kwasababu huko kunafugwa sana chairfire kwii kwii kwii!
   
 18. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  nq kwa nini wewe unaishi maltejoo?
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,443
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  Miaka fulani ya nyuma, Wachagga wengi maeneo yao ya kujidai yalikuwa kuanzia Ubungo Kibo, Rombo, Kona...Kimara Baruti hadi Resort, lakini ikaja kupita bomoabomoa moja kubwa sana wakati wa upanuzi na utengezaji wa barabara ya Morogoro. Maskini ya Mungu Wachagga wengi walikutwa na hiyo kadhia ndipo ilipowalazimu waanze kusaka maeneo mengine. Kwa bahati nzuri Kimara ndio ilikuwa sehemu nzuri(viwanja bei chee), mazingira yanafanana na Ubungo, karibu na Moshi. Hilo ndio chimbuko la Wachagga Kimara.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahaha! Kwasababu ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha! Wapo pia majengo juu lol, matejoo pia wamejazana sana!
   
Loading...